Hustler ni App la biashara la B2B linalohudumia wauzaji wa jumla na reja reja nchini Tanzania.
App hii inakupa fursa ya kununua bidha zako za dukani, mda wowote, mahali popote, kwa bei chee. Wauzaji wajumla na rejareja wote wanaweza kuagiza na App ya Hustler. Rahisisha maisha yako na agiza bidhaa zako sasa.
Kuna bidhaa mbalimbali kwenye App ya Hustler
Kwa mfano:
Vyakula
.Mafuta ya kupikia
. Vinywaji
. Unga
. Vitafunio
. Tamu Tamu
Vifaa:
. Batri
. Mafuta
. Stationary
Bidhaa za watoto:
. Cream ya watoto
. Daipa za watoto
. Mafuta ya watoto
na vitu vingine vingi.
Vipodozi:
. Bidhaa za kutunza meno
. Bidhaa za kutunza nywele
. Bidhaa za kutunza ngozi
. pafyumu
. Vipodozi kwa ajili ya wanawake
Tumbaku:
. BAT
. Phillip Morris
. TCC
Bidhaa ya usafi
. Sabuni ya maji ya usafi
. Dawa ya kuua wadudu
. Sabuni na mche ya sabuni
. Sabuni ya maji.
Pakua app ya Hustler sasa na uanzekufaidika leo